Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,294 Reaction score 4,891 May 18, 2025 #1 Natoa pole kwa wote mliowahi kuumizwa wengine Hadi kuuwawa. Pole mliowahi kuumizwa na kujiumiza kwa kupigania MAIGIZO. Wengi mna vilema vya kudumu wengine hawajulikani walipo na wengine wanafadhiliwa kinyemela wakiigiza kuwa pamoja nanyi. Poleni kwa kushiriki script za Watu wazima wasio na khaya Wala utu UMAFIKI NI JAMBO BAYA SANA "Mguu umehangaika Sasa umekanyaga Nyoka"
Natoa pole kwa wote mliowahi kuumizwa wengine Hadi kuuwawa. Pole mliowahi kuumizwa na kujiumiza kwa kupigania MAIGIZO. Wengi mna vilema vya kudumu wengine hawajulikani walipo na wengine wanafadhiliwa kinyemela wakiigiza kuwa pamoja nanyi. Poleni kwa kushiriki script za Watu wazima wasio na khaya Wala utu UMAFIKI NI JAMBO BAYA SANA "Mguu umehangaika Sasa umekanyaga Nyoka"
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,891 Reaction score 7,044 May 18, 2025 #2 Ovyoo.
N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 2,087 Reaction score 2,855 May 18, 2025 #3 Kila jambo Lina mwanzo na mwisho, nguvu za binadamu zinapoishia ndio Mungu anapoanzia, si siku nyingi watu watasema kwa sauti ya mshangao kuwa " kweli MUNGU yupo"
Kila jambo Lina mwanzo na mwisho, nguvu za binadamu zinapoishia ndio Mungu anapoanzia, si siku nyingi watu watasema kwa sauti ya mshangao kuwa " kweli MUNGU yupo"
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,571 Reaction score 30,140 May 18, 2025 #4 Nyaka-One said: Ovyoo. Click to expand... Usichokielewa kipite kama haukioni.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,628 Reaction score 197,284 May 18, 2025 #5 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw