Kwetu kaya JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 587 Reaction score 479 Dec 27, 2018 #22 Kwa michezo hayo mambo ya kawaida kwa mwakilishi wa nchi kupoteza mechi za nyumbani Ismailia kwao inshika mkia ila ni miongozi mwa waliotinga 16 bora Itazame almasr alahly zote ligi ya kwao zinasuasua Ila kimataifa ni moyo
Kwa michezo hayo mambo ya kawaida kwa mwakilishi wa nchi kupoteza mechi za nyumbani Ismailia kwao inshika mkia ila ni miongozi mwa waliotinga 16 bora Itazame almasr alahly zote ligi ya kwao zinasuasua Ila kimataifa ni moyo
A astrologist JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 221 Reaction score 268 Dec 27, 2018 #23 Kwetu kaya said: Kwa michezo hayo mambo ya kawaida kwa mwakilishi wa nchi kupoteza mechi za nyumbani Ismailia kwao inshika mkia ila ni miongozi mwa waliotinga 16 bora Itazame almasr alahly zote ligi ya kwao zinasuasua Ila kimataifa ni moyo Click to expand... Inawezekana zmefuzu tm mbovu sana mwaka huu kwenye kilab bingwa. Kwa mfano Simba, kat ya tm 32 bora Tz bara, Simba haipo, ila wapo MASHUJAA!
Kwetu kaya said: Kwa michezo hayo mambo ya kawaida kwa mwakilishi wa nchi kupoteza mechi za nyumbani Ismailia kwao inshika mkia ila ni miongozi mwa waliotinga 16 bora Itazame almasr alahly zote ligi ya kwao zinasuasua Ila kimataifa ni moyo Click to expand... Inawezekana zmefuzu tm mbovu sana mwaka huu kwenye kilab bingwa. Kwa mfano Simba, kat ya tm 32 bora Tz bara, Simba haipo, ila wapo MASHUJAA!
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,628 Dec 27, 2018 #24 mng'ato said: Team Liboro Click to expand... Hili hapa
Makambovich JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 207 Reaction score 200 Dec 27, 2018 #25 Mwenzie Nduda kakimbia benchi tayari, ajitahidi sana kufanya maombi maana kijana yule ya Moro sio wa mchezo mchezo!! Kuchukua namba kwake uwe umejipanga kikamilifu
Mwenzie Nduda kakimbia benchi tayari, ajitahidi sana kufanya maombi maana kijana yule ya Moro sio wa mchezo mchezo!! Kuchukua namba kwake uwe umejipanga kikamilifu
Blueprint 9 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 807 Reaction score 1,402 Dec 27, 2018 #26 Dida ndo man of the match jajaajajajaja
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,942 Dec 27, 2018 #27 G.Jacob said: Umbumbumbu ndio nini Click to expand... Muulize Rage atakujibu
G.Jacob JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,491 Dec 27, 2018 #28 Ndumbula Ndema said: Muulize Rage atakujibu Click to expand... Kumbe ndo umbumbumbu wako.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,942 Dec 27, 2018 #29 G.Jacob said: Kumbe ndo umbumbumbu wako. Click to expand... Namba ya rage 0765........
Bujoro JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,278 Dec 27, 2018 #30 pandagichiza said: Mara ya mwisho kusikia timu kutoka kigoma ikicheza ligi kuu ni lini Click to expand... Ndo inakuja mashujaa sasa we subiri mwkani.
pandagichiza said: Mara ya mwisho kusikia timu kutoka kigoma ikicheza ligi kuu ni lini Click to expand... Ndo inakuja mashujaa sasa we subiri mwkani.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 May 6, 2019 #31 Msiba mwingine huu leo!