Pointsman analipwa mshahara shilingi ngapi?

Princerahym

Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Jamani swali langu ni kuwa je! Pointsman (Mtumishi katika shirika la reli) huwa kwa Tanzania analipwa mshahara wa kiasi gani?
 
Hata kabla hatujajua anachukua kiasi gani.., hio Position ipo ? kwa Afya ya Reli yetu asije tu anajikuta anaongoza hewa / upepo....
 
Kimsingi pointsman ni mtu ambaye majukumu yake ni kubadilisha njia za reli wakati wa kufanya train mashalling. Scale yake ni TRCS 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…