Okeey i’ll check you..! I need five braceletsBracelets ni 15k
Necklace ni 13k-10k
Weekend ndio hiyo,ahadi ni deni😅handbag inahitaji nafahamuLimeisha hilo
Yap,kuna jambo limenikaba koo ninaamini nitasikilizwa ana kwa ana na masikio yote waswahili wanasema "face to face"🤣.😜 kabisa, i’m glad unaelewa
Don't let my vacay be a bust like this et!!!!!pia niko serious na ulivuka mitihani yangu 2 na haujui🤣Unajua pa kunipata kabisa😂
Nitakuelewesha🤣🤣🤣 sijaelewa wallah
Nikueleweshe kwa njia gani? Simu or uso kwa uso?Nasubiri😌
Mekuja 😆mwanaume mwenye ID ya kike aje nimnunulie😁😁😁
We apana! Mzee Msuya ana pesa akununulie kijana wake! Nataka ID flan ina midekoMekuja 😆
We apana! Mzee Msuya ana pesa akununulie kijana wake! Nataka ID flan ina mideko
Muda gani?Simu leo hii😂
Ok,ngoja nitoke hapa shamba "nikutwangie".Right now, Niko free kabisa😛