PM YANGU HAIFUNGUKI

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Ni mda wa wiki sasa pm yangu hapa jamii forum haifunguki sijui kwanini nilileta malalamiko kwa moderator hawajanisaidia afu ipo kwenye mwonekano mpya sielewi kwanini
 
Ni mda wa wiki sasa pm yangu hapa jamii forum haifunguki sijui kwanini nilileta malalamiko kwa moderator hawajanisaidia afu ipo kwenye mwonekano mpya sielewi kwanini
Elezea vizuri mkuu haifunguki kivipi mwanzo ilikuwa inafunguka au, ngoja nikufahamishe kitu ikiwa umebadilisha sim na uka download app ya jf basi hilo ndo tatizo namba 1.
Marekebisho kama maelezo yangu ni ya kweli basi uninstall baadae download nyingine karibu uje tena.
 
Yes nilibadilisha cm nika install app mpya
 
Daah mkuu jiongeze bana mbona browser zipo za kutosha ukiona application inazingua jua ipo kwenye matengenezo tafuta njia mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…