Plz Nisaidieni

Mandela T HD

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
14
Reaction score
4
Niko na simu ya iphone nimeuziwa ila kila nikijaribu kuweka laini inagoma imepigwa lock nimeshindwa kutoa
 
Ni simu ya wizi......?.....
 
Niko na simu ya iphone nimeuziwa ila kila nikijaribu kuweka laini inagoma imepigwa lock nimeshindwa kutoa

Umeuziwa rudisha tuu kwa huyo mliyemwibia iPhone ikishakua na sifa ya kuibwa huwa Haiuziki wa kutumika tena.
 
Mshikaji kaniletea ndugu kapewa zawadi ila lock ndio shida
 
Ww sema huwezi kuna kitu kinashindikana acha wanaojua wachangie mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…