Wewe ni mjuzi wa hiyo fani?Katika fani yenye demand kubwa sana ya watalaam ambayo imetawaliwa na vilaza hapa nchini ni hiyo ya Plumbing.. Hakuna kabisa wajuzi wa fani hii zaidi ya wababaishaji tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr.junir sio kweli mbona tupo wengi tu watalamu Sana mkuu ukutana na plumbing Alie toka veta Moshi ndio utakubali tuWewe ni mjuzi wa hiyo fani?
So handsome
Mpe fursa kijana wetuSo handsome
Hua wanayumba wapi hawa wataalam?Katika fani yenye demand kubwa sana ya watalaam ambayo imetawaliwa na vilaza hapa nchini ni hiyo ya Plumbing.. Hakuna kabisa wajuzi wa fani hii zaidi ya wababaishaji tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, inaitaji uwe mtu smart sanaKatika fani yenye demand kubwa sana ya watalaam ambayo imetawaliwa na vilaza hapa nchini ni hiyo ya Plumbing.. Hakuna kabisa wajuzi wa fani hii zaidi ya wababaishaji tu...
Sent using Jamii Forums mobile app