Plots msongola ilala

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Plots zenye ukubwa wa 16m kwa 13m zinauzwa kwa bei ya Tsh 2mil,bei inashuka.Ziko sehemu tambarare na zimebaki chache.Umeme upo karibu sana,mchanga na maji yapo.


Pia commission ya 50,000/= kwa kila mteja utakayemleta na kufanya manunuzi ya kiwanja.

Mnunuzi anaweza kudouble plots kadri ya uwezo wake.Havina hati hivyo vinauzwa kama shamba chini ya serikali ya mtaa.


Kwa maulizo 0717 288306
​
 
16x13m = Sqm 208. Hiki ni kwa ajili ya kujenga choo au?
 
Hivyo viwanja ni vidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…