Je vimepimwa na serikali?
Na hiyo Form uya Tsh:50,000 inahusu nini na nani muhusika hasa,serikali za mitaa au ndio mambo ya mjini.
Wekeni Number za Sim na sio email
Na malipo ya Bank direct yanamashaka.
Wekeni number za sim,maana nina kiuuzi kidogo cha IT na inaonekana email ni mpya.
Halafu ni makamanda wa Kambi ipi