Plot zinauzwa Kigamboni

Plot zinauzwa Kigamboni

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Hello JF nauza plot mbili ni low density
Eneo ni: Kigamboni, Mwongozo
Kata : Malimbika
Size: square meter 1200
Size in meter: 35x35
Vipo viwili vimefuatana ina maana kama mtu akitaka kuchukuavyote inakuwa nusu eka yaani 70x35
Umbali: Kilomita 18 kutoka ferry na kilomita kama 2 kutoka DEGE Eco residence

Bei: milioni 7 tu kwa kimoja

Kama uko interested ni pm kwa maelezo zaidi
 
Hello JF nauza plot mbili ni low density
Eneo ni: Kigamboni, Mwongozo
Kata : Malimbika
Size: square meter 1200
Size in meter: 35x35
Vipo viwili vimefuatana ina maana kama mtu akitaka kuchukuavyote inakuwa nusu eka yaani 70x35
Umbali: Kilomita 18 kutoka ferry.

Umeme? Maji?
 
Mkuu kina hati?

Mkuu ni Umbali gani kutoka maini road ya Kimbiji?
 
Mkuu hilo eneo halipo kwenye mradi wa mji mpya? Kama ndio je 10mil unachukua kwa eneo lote? Mm nipo serious naomba unijibu maswali yangu
 
Hello JF nauza plot mbili ni low density
Eneo ni: Kigamboni, Mwongozo
Kata : Malimbika
Size: square meter 1200
Size in meter: 35x35
Vipo viwili vimefuatana ina maana kama mtu akitaka kuchukuavyote inakuwa nusu eka yaani 70x35
Umbali: Kilomita 18 kutoka ferry.

Bei: milioni 7 tu kwa kimoja

Kama uko interested ni pm kwa maelezo zaidi

phone no.
 
Umbali gani tokea ferry? Umbali gani tokea main road ya eneo hilo? Je eneo halipo katika mradi wa mji wa kigamboni? Master Plan ya eneo husika unaifahamu? Kama ndiyo inaelekeza kiwanja cha makazi? Niko very much interested hivyo nisaidie kujibu haya maswali.
 
Huyu mleta mada anazingua, maswali ya wadau hajibu na pm pia hajibu atakuwa Tapeli huyuuu
 
Mkuu ni Umbali gani kutoka maini road ya Kimbiji?
Ni km 3 ila kutakuwa karibu kadiri watu wanavyozidi kujenga as kwa sasa ni kama tunazunguka.

Ila kipo kwenye eneo poa kwa maana ya mitaa, barabara nk?
Kipo karibu na barabara kubwa inayookea daraja jipya kwa mujibu wa ramani

phone no.
Mkuu kama uko interested unaweza ukanipm kwa mawasiliano zaidi

Umbali gani tokea ferry? Umbali gani tokea main road ya eneo hilo? Je eneo halipo katika mradi wa mji wa kigamboni? Master Plan ya eneo husika unaifahamu? Kama ndiyo inaelekeza kiwanja cha makazi? Niko very much interested hivyo nisaidie kujibu haya maswali.

Ndugu niliandika mwanzo km 18 kutoka Ferry, Ni km 3 ila kutakuwa karibu kadiri watu wanavyozidi kujenga as kwa sasa ni kama tunazunguka. Ni nje kabisa ya eneo la mradi, Master plan inaonyesha ni makazi na pia karibu na hapo kama mita 200 tayari kuna sehemu ya hospitali kanisa msikiti na shule.

Huyu mleta mada anazingua, maswali ya wadau hajibu na pm pia hajibu atakuwa Tapeli huyuuu
sio tapeli nilikuwa nje ya mtandao kidogo
 
am back viwanja hivi bado vipo. unaweza kunitafuta kwa namba hii kama unahitaji 0714 500004
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom