msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Duh hii leakage itazua diplomatic tension kati ya Sudan,Ethiopia na South Africa
hizi spy cables tutajua mengi
kwa nini sudan ifanye mbinu za kumuua huyu mama zuma? any idea?
sudan alikuwa anatumiwa na m16 kutekeleza hyo mission lakn wapangaji na wafadhl ni mi6
why would the UK want dlamini dead?sudan alikuwa anatumiwa na m16 kutekeleza hyo mission lakn wapangaji na wafadhl ni mi6
M16 ni aina ya bunduki na Mi6 ni british foreign intelligence agency (kama CIA ya marekani)Leo nimesahau miwani yangu, unaweza kunipa tofauti ya M16 na Mi6?
sudan alikuwa anatumiwa na m16 kutekeleza hyo mission lakn wapangaji na wafadhl ni mi6
sudan alikuwa anatumiwa na m16 kutekeleza hyo mission lakn wapangaji na wafadhl ni mi6
Kwa nikivosoma zile cable CIA ndo alikuwa busy kupinga kuchaguliwa kwa yule mama
na hao waingereza shida yao na huyu mama ni nini?
Leo nimesahau miwani yangu, unaweza kunipa tofauti ya M16 na Mi6?
Kwa nikivosoma zile cable CIA ndo alikuwa busy kupinga kuchaguliwa kwa yule mama
br6,google ni rafiki yako,maana itabd tuanze kuambiana ujasusi unafanya vip kazi,ila kwa ufup tambua kabla kikwete ajawa rais tayar c.i.a walikuwa wanajua uwezo,nia na mengne meng juu yako,kama wangehis atazba masirah yao bas rais angekuwa slaa
mkuu vipi hiiSpy cables walizolikisha kama vile zilikuwa zinawatarget israel na south africa maana ndo nimeona ziko significant kati ya zaidi ya document 200 walizoleak hawa aljazeera. Hawajaleak vitu serious kabisa kuhusu intelligency agency za wale mataifa makubwa makubwa sana