Plot, plot, plottttt

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
654
LOCATION: Kinyerezi Mjeshi ( 2km from JNI Airport, off Kinyerezi – Mbezi Highway)


SIZE: 225sqm each



PRICE: Tshs 3.5 Million each


AVAILABLE: Several



APPLICATION: Filling forms @ Ths. 50,000/=(fifty thousand only)


CONTACT: Email plotkinyerezi@yahoo.com



PLAN: As soon as possible



PAYMENT: Bank Slip



INFO: 1. Kamanda Iddy
2. Daimu


EFFECTS: EXCLUSSIVELY PRIVATE PROPERTY


NOTES:
Interested parties need not worry or have doubts about getting plot after you have purchased a form, please rest assured number of forms equals number of plots. All you have to do is to visit the site, pick a plot you prefer and send an email to request for the mpesa mobile number which you will remit your form payments and after remitting you will then send an email showing your mpesa receipt code and a form shall be emailed to you in which you shall indicate the plot you have interest and again an email will be sent to you giving you the account number to deposit the purchase price. alternatively you y also call 0786 021 840 for further instructions on working days, however the official corresponding media shall remain to be emails.
 
Fomu za nini wewe kama unauza si unauza tu ama umejigeuza tapeli watu wajaze fomu ule hela, nakuambia kwa kujaza fomu utakula m-fi yako
 
acha mambo ya kihuni kam unaviwanja we waambie watu waje waone then mmalizane, hizo biashara za kihindi zitakupotezea tu muda wa uuzaji wa haraka, but all the best
 
special kwa kujenga choo? hv unazijua sqm 225 wewe. acha utapeli mwizi wewe.
 
Wakuu huyu jamaa ni tapeli hakuna kiwanja hapo huu ni usanii wa mjini tu,kama unauza kiwanja si uataje bei uuze form za nini?utapeli tu huo
 
hii kitu ya 225sqm hakuna kwenye mipango miji kidogo saana sqm 400 mbona kuwaadaa watu lakini alafu 3.5m Mmmh hapana kwa kweli
 
mmmmm hatar kwa nini hv lakini mnatengeneza squatter.
 

ha form laki tano halafu uwanja 225sqm, sikia assume huwo uwanja ni mraba then fanya under root ya 225 utapata 15 meter so uwanja wako utakuwa na upana wa 15m na urefu wa 15m, hivi unajua ukubwa wa meter wewe.......,hapo si unajenga choo tu mkuu halafu eti form laki tano then bei 3.5mil nyoooo kawaibie chalinze huko
 
Bangi bhana mbaya sana hivi unajua ukubwa wa chumba cha kawaida? ni mita 3 kwa mita 3 na unajua thamani ya ardhi kwa Dar? kigamboni wanalipwa milioni 140 kwa nusu eka yaani mita 25 kwa 50 sawa na plots zangu tatu ambazo kwa bei niliyotoa ni sawa na milioni 10.5 pekee. Halafu ni wapi nimesema fomu ni laki5? acha bangi bana zitakuuwa. Hapa pembeni yangu kuna mtu kanunua nusu ekari milioni 90 anaweka kituo cha mafuta wewe unashangaa milioni tatu mtu anaingia nayo klabu na kutoka bila chenji; hebu ondoa fikra duni humu ninachouza ni changu, thamani yake huwezi kuijua wewe na anayeona kinamfaa atachukua wewe unayeona ni wizi tulizana.
 
Acha kudanganya watu.... Hata kibada plot ya sq meter 1000, aka robo eka haifiki 20m....

mwizi mkubwa we!!!!
 
Ndoto za kipuuzi za utajiri wa haraka zimewafanya madalali wetu kuwa kama fisi kwa tamaa.....

50,000 ya nini?
 
special kwa kujenga choo? hv unazijua sqm 225 wewe. acha utapeli mwizi wewe.

Ukubwa wa viwanja vya kariakoo vinavyouzwa kwa mabilioni na kujengwa vigorofa vyembaaaamba unaujua? unashangaa sqm hizo? after all hamna restriction kwamba lazima u-abide by unit of sale unaweza kununua hata vinne kupata ukubwa unaohitaji kuna ubaya gani? au roho mbaya zinawapofusheni? hilo ni tangazo kwa linayemfaa wewe ukiona ni utapeli kaa kando
 
APPLICAT

we ni mwizi ambaye hujui ulichoandika ''APPLICATION: Filling forms @ Ths. 50,0000/='' hiyo ni nini,swala sio pesa swala ni kuwa hiyo pesa inaenda wapi na inafanya nini, unasifia matumizi ya wenzio haya wauzie wajinga ili na wewe uende nayo club usirudishiwe chenji

nimekupigia mathematics nzuri ili ujue kuwa we ni mpuuzi hilo eneo mkuu linatosha kujenga banda la mbwa mkuu mbona husikii...............
 
You are only a fool; am a competent mathematician and an esteemed lerned fellow, kunipigia mathematics ndio pumba gani? wewe umesema fomu laki tano unaulizwa zimeandikwa wapi unapiga about turn unasema ni za nini utakuwa kilaza wa hali ya juu sana usiyejua mambo ya mikataba na business negotiations. Mtu anajaza fomu kuonyesha mambo yote anayohitaji yawe incorporated kwenye contract yake au unafikiri nauza karanga hapa? nauza property aisee na nimekwenda shule sibwabwaji tu unaongelea mambo ya hesabu loop integral unaijua? au differential equation? acha bangi zako bana. Eti oooh kujengea kibanda cha mbwa sasa inakuhusu nini mwenye kuhitaji ndie anajua atatumiaje sio kazi yako kwani vile viwanja vya kariakoo vinavyonunuliwa kwa mabilioni na kujengwa vigorofa vyembamba vinafikia kipimo hiki? bangi zitakuuwa bhanaaa. However, there was an oversight on the price tag, i have rectified and am very sorry for that.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…