FURSA! FURSA!
Plot inauzwa SINZA MORI INATIZAMA SHEKILANGO ROAD,UKUBWA METER SQUARE 900.
INA NYUMBA YA KUISHI, FREMU ZA BIASHARA NA BAA UPANDE WA BARABARA. Imepimwa na ina hati
Jaman fursa hizo kama kuna mtu anajiweza au anamfaham mtu anaeweza kupachukua tutafutane kupitia 0713 565124 au higoedward@gmail.com

unasema plot inauzwa unamanisha kiwanja...mmbona ktk maelezo yako unasema kuna nyumba na frame mkuuu...nyoosha kdg maelezo...
bei inacheza ngapi?
Ok nimekupata kama tulivyoongea na tulivyokubaliana hiyo bei nitakupa hyo 8m kesho nakuja kumalizana mwambie kabisa afisa mtendaji.
Anuaza 8m na nishaichukua kwa oder kesho naenda kulipa nlimpigia kupitia namba yake so biz closed