J JRK Member Joined Jul 10, 2012 Posts 47 Reaction score 11 Jul 18, 2013 #1 Plot inauzwa Mpiji darajani, ni karibu na bunju mwisho, karibu na bara bara, dakika 5 kutoka barabarani kwa mguu.. ina upana wa foot 20 na urefu wa foot 30... bei ni 4.7M.. kwa mawasiliano 0782828138 au PM​
Plot inauzwa Mpiji darajani, ni karibu na bunju mwisho, karibu na bara bara, dakika 5 kutoka barabarani kwa mguu.. ina upana wa foot 20 na urefu wa foot 30... bei ni 4.7M.. kwa mawasiliano 0782828138 au PM​
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,710 Reaction score 32,483 Jul 18, 2013 #2 Mkubwa una maana ni mita 6.6 kwa mita 10 hivi?
Kitope JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 236 Reaction score 58 Jul 18, 2013 #3 Kambaku said: Mkubwa una maana ni mita 6.6 kwa mita 10 hivi? Click to expand... mwenzio anamaanisha foot 20 = Miguu 20 🙂
Kambaku said: Mkubwa una maana ni mita 6.6 kwa mita 10 hivi? Click to expand... mwenzio anamaanisha foot 20 = Miguu 20 🙂
J JRK Member Joined Jul 10, 2012 Posts 47 Reaction score 11 Jul 18, 2013 Thread starter #4 namaanisha miguu ndugu yangu.. ni mkubwa wa wastani unaruhusiwa kuona pakikuridhisha unanunua..
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 373 Jul 18, 2013 #5 naomba mawasiliano tafadhali
manenge JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 279 Reaction score 19 Jul 19, 2013 #6 Naomba unijuze kama imepimwa na kuwa na hati tafadhali
J JRK Member Joined Jul 10, 2012 Posts 47 Reaction score 11 Jul 19, 2013 Thread starter #7 haijapimwa, hati iliyopo ni ya serikali ya mtaa..,
J JRK Member Joined Jul 10, 2012 Posts 47 Reaction score 11 Jul 23, 2013 Thread starter #8 deal closed, thanx