Plot inauzwa moshono arusha.

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,276
Plot inauzwa moshono karibu na club d, mita ishiriri tokea barabarani. Ukubwa wa eneo ni mita 20 kwa 20 . Bei 27m ila mazungumzo yapo.
 
Kwa maelezo zaidi tuchekiane kwa pm
 
20 kwa 20 kwa mil 27? kuzingatia haina hati?!! duh
 
20 kwa 20 kwa mil 27? kuzingatia haina hati?!! duh

Kuna mazungumzo walah usijali , pia ipo karibu sana na barabara haizidi mita 3020 kutoka barabarani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…