HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Jun 30, 2016 #1 Ipo mtaaa wa muhoro na jangwani bei ni maelewano document zote zipo mwenye interest please ni inbox ili tuweze kufanya mawasiliano
Ipo mtaaa wa muhoro na jangwani bei ni maelewano document zote zipo mwenye interest please ni inbox ili tuweze kufanya mawasiliano
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Jun 30, 2016 #2 Mkuu elekeza vizuri. Jangwani pale karibu na Yanga ambapo wakati wa mvua panageuka bwawa au Jangwani ipi?
Mkuu elekeza vizuri. Jangwani pale karibu na Yanga ambapo wakati wa mvua panageuka bwawa au Jangwani ipi?
Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Jun 30, 2016 #3 Au jangwa la sahara?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,841 Reaction score 14,666 Jun 30, 2016 #4 Weka bei
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,532 Reaction score 46,458 Jun 30, 2016 #5 Kwa kawaida Kariakoo hapo inayouzwa ni nyumba chakavu ya familia/urithi na kwa jinsi walivyo wengi sio chini ya 600ml.
Kwa kawaida Kariakoo hapo inayouzwa ni nyumba chakavu ya familia/urithi na kwa jinsi walivyo wengi sio chini ya 600ml.
HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Jul 25, 2016 Thread starter #6 Ipo mtaa wa jangwani na mhoro bei ni inaanzia 800 mil
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Jul 25, 2016 #7 HIMLER said: Ipo mtaa wa jangwani na mhoro bei ni inaanzia 800 mil Click to expand... Mtafute "Masamaki" Hapo ni parefu kwa watumishi wa umma
HIMLER said: Ipo mtaa wa jangwani na mhoro bei ni inaanzia 800 mil Click to expand... Mtafute "Masamaki" Hapo ni parefu kwa watumishi wa umma
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,518 Reaction score 6,920 Jul 25, 2016 #8 Frank Wanjiru said: Kwa kawaida Kariakoo hapo inayouzwa ni nyumba chakavu ya familia/urithi na kwa jinsi walivyo wengi sio chini ya 600ml. Click to expand... Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo??
Frank Wanjiru said: Kwa kawaida Kariakoo hapo inayouzwa ni nyumba chakavu ya familia/urithi na kwa jinsi walivyo wengi sio chini ya 600ml. Click to expand... Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo??
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,532 Reaction score 46,458 Jul 26, 2016 #9 Saju b said: Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo?? Click to expand... Mara nyingi wanajipigiaga hesabu ya hela watagawana ngapi,sio thamani ya soko.
Saju b said: Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo?? Click to expand... Mara nyingi wanajipigiaga hesabu ya hela watagawana ngapi,sio thamani ya soko.
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,518 Reaction score 6,920 Jul 26, 2016 #10 Frank Wanjiru said: Mara nyingi wanajipigiaga hesabu ya hela watagawana ngapi,sio thamani ya soko. Click to expand... Mbona wakiwa na plot nje ya mji hata kana wako wengi hawauzi 600ml? Hiyo ndio thaman yake kwa kariakoo
Frank Wanjiru said: Mara nyingi wanajipigiaga hesabu ya hela watagawana ngapi,sio thamani ya soko. Click to expand... Mbona wakiwa na plot nje ya mji hata kana wako wengi hawauzi 600ml? Hiyo ndio thaman yake kwa kariakoo