Plot for sell at Mjimwema - Kigamboni

Plot for sell at Mjimwema - Kigamboni

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Eneo ni tambalale, ukubwa ni square meter 400, umeme umefika, kiwanja hakina mgogoro wowote, umbali toka main road ni meter 300 tu , umbali toka ferry ni km 8. Eneo limejengeka vizuri, eneo ni la kujenga nyumba ya vyumba vinne kimoja kikiwa master bedroom, dining , kitchen, na public toilet. Parking ya gari , eneo la kuchimba kisima cha maji na karo la choo. Bei mil 5. Mawasiliano 0716805201.
 

Attachments

  • plot.jpg
    plot.jpg
    287.1 KB · Views: 256
  • mtaa.jpg
    mtaa.jpg
    251.3 KB · Views: 236
Mgusi nakuaminia,naona umehamia kigamboni sasa.
Naamini bei hiyo hakina hati au unasemaje Mukulu.

Vyenye hati kaka vipo kibada ,gezaulole, tuangoma na cheka , na mikwambe bei mil 20 paka 40 ..hivi vya skwata wananunua wenzangu na mimi.
 
Viwanja bado vipo vya bei tofauti mil 5 hadi 7. Kigamboni mjimwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom