Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,079
- 1,567
Kama kilometa moja mkuuKutoka kinyerezi stand mpk hapo kiwanjani Ni umbali gani boss?
Ndio Mzee mkuuNafkiri kwenye hizo sqm ulimaanisha meters si ndio mkuu?
Kina punguzo mpaka ngapi??
Oops nikiwa sawa nitakutafuta maana nahitaji vya bei chini chini.Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na mmiliki wa kiwanja.
Siwezi kukupa punguzo la Bei maana Mimi naweka Bei ya mwenye Mali.
Pamoja mkuuOops nikiwa sawa nitakutafuta maana nahitaji vya bei chini chini.
Kama utahitaji kukiona utanichek sikutozi Hela ya kukuonyesha lakini utalipia nauli Tu.Nafkiri kwenye hizo sqm ulimaanisha meters si ndio mkuu?
Hujaweka namba yako mtalaamNipigie simu nikupeleke ukazungumze na mmiliki wa kiwanja.
Siwezi kukupa punguzo la Bei maana Mimi naweka Bei ya mwenye Mali.
0754693556Hujaweka namba yako mtalaam
Shukran Kwa ufafanuzi mkuuHivi mpaka leo bado tu kinyerezi mnaiita tabata, hizo ni kata mbili tofauti zinazo jitegemea, tabata inaishia segerea kwa mbele pale kwenye kiroundabout