Plot for sale near Kunduchi Beach Hotel

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Kiwanja ni nusu heka, kuna frem tatu mbele za maduka, kuna msingi wa fremu tatu pembeni mbele, kuna banda nyuma lenye vyumba viwili limeishia kwenye linta, kuna kiwanja kinabaki kinaweza kujenga nyumba kubwa moja au mbili, kipo barabarani karibu na Kunduchi Beach Hotel, pembeni imepakana na nyumba za watu, na kituo cha mwisho yanapogeuzia magari ya Kunduchi beach.
BEI: $400,000. MAONGEZI YAPO. HAKUNA DALALI
PIGA 0682779588
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom