Plot for sale: kitunda Magore kwa Mpemba

Plot for sale: kitunda Magore kwa Mpemba

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
2 in 1 Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba. Sehemu imetulia. Viwanja vimepimwa kienyeji kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.

Size, 900Sqmtrs.

Bei Tsh:14.5m.
Nguzo Moja tu ya Umeme. Maji papo yapo Unit1sawa na 50Ndoo Tsh: 2000.

Karibuni.

8.4Kms from Banana Aviation House.



Karibuni
 
Last edited:
Bado vipo. Sio sehem ya kukosa kwa muhitaji wa kiwanja cha kujenga.
 
Barabara mita 5 ni kwa mujibu wa viwango vya nchi gani mkuu? Kwa Tanzania, barabara zinazoruhusiwa na ardhi ili uweze kupima ni mita 10. Labda kama mnunuzi hana mpango wa kupima hivyo viwanja na kupata hati.
 
Pia nami ninacho kiwanja safi sana, kipo Kivule Chakenge kipo jirani na mahali inapojengwa hospitali ya wilaya ya Ilala, kama inahitajika piga simu namba 0755214620
 
Pia nami ninacho kiwanja safi sana, kipo Kivule Chakenge kipo jirani na mahali inapojengwa hospitali ya wilaya ya Ilala, kama inahitajika piga simu namba 0755214620


Weka ukubwa na bei twende sawa. Inafikika kwa barabara au uchochoro?
 
Miguu 35 kwa 30 gari mpaka kiwanjani, bei 8.5mil
Sema kwa mita au foot au kipimo kinachoeleweka. Miguu ndio nini? Watu wanatofautiana hapa. Mie ukinitajia miguu nakuja na kipimo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom