Hyo ni bei ya hekalu kabsa ukouko New YorkTotal scam,
Hii ni bei ya New York au California kabisa.
Hapa ni oysterbay kweli? Mbona kama mashamba ya chai njombe huko?Plot For Sale at Oysterbay.
Location: Guinea rd.
Plot size: SQM 3400.
Price: USD 3.5 Million.
Document: Ownership.
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807. @prathrealestate
View attachment 3533003
Yani muuzaji anauza eneo halafu hataki lipigwe picha wateja waone. Mkuu, hata hata wewe ulishindwa kumshauri hiki kitu?Kwa picha sio halisi kwa sababu wenye eneo hakuridhia eneo lipigwe picha, ndio sababu nimeweka picha hii inaonesha tu ardhi. Karibu.
Total scam,
Hii ni bei ya New York au California kabisa.
Real Estate Dar es Salaam kwenye prime areas ni kama sekta ya watakatisha fedha na mafisadi tu.Hapo NY au CA unapata apartment kabisa na pengine chenji inarudi...
Wakati nipo benki kuna mteja mmoja hivi alikuwa na apartment kama tano hivi kila apartment alikuwa anapokea kama USD 3,000 kwa mwezi.Real Estate Dar es Salaam kwenye prime areas ni kama sekta ya watakatisha fedha na mafisadi tu.