Plot for sale at Mbweni JKT

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,012
741
Ni corner plot yenye ukubwa wa sqm 1037. Una hati ya serikali sio ya kimila kwenye plot hadi baharini unatembea kwa miguu ni maeneo mazuri na yanayo jengeka kwa kasi ya 4G yakiambatana upepo mzuri wa bahari ya hindi....price tsh 130million niliyopewa na lukuvi karibuni sana kama auna hela bora upite kimya kimya uwahi futari.contact 0712464777.
1466516956061.jpg
1466516990479.jpg
1466517022699.jpg
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.

1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

SoldOut
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom