Plot for sale at mabwe pande...plot for sale at mabwe pande...plot for sale at mabwe pande

Plot for sale at mabwe pande...plot for sale at mabwe pande...plot for sale at mabwe pande

Status
Not open for further replies.

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,760
Plot inauzwa maeneo ya mabwe pande ipo kilometa tatu (3) kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo, unaingilia kwenye barabara kubwa iendayo kwa wahanga wa mafuriko lakini unayapita yale makazi unafuata barabara kubwa ambayo ndiyo iliyokuwa planned kuwekwa lami ambayo itatokezea morogoro road.

Eneo lipo surveyed kama inavyoonekana kwenye mchoro ulioambatishwa, bado hatua ya hati ambapo mnunuzi atakayepatikana jina lake litaingizwa kwenye hati moja kwa moja.

Square meter ni 1180 kama inavyoonekana kwenye ramani, viwanja vingine kama vinavyoonekana vimeshanunuliwa.

Bei ni tshs 20,000,000 ila maelewano yapo kwasababu mimi sio dalali mimi ni owner wa hicho kiwanja.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom