Plot for sale at kibada

Plot for sale at kibada

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,472
Reaction score
527
Kipyaa ndo kimepimwa, kina hati, block la kwanza kabisa ukitoka kigamboni ferry, price 30m, ukubwa 1500sq.m karibuni mnaotaka kukaa jirani na Bush, yaani ni kiwanja cha tatu kutoka eneo la New Kigamboni City watu watakakoondolewa, bonge la opportunity.
 
umeshakiuza mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom