Kuna siku girlfriend wangu alinipigia simu na kuniarifu kuwa yeye anaomba kuachana na mimi lakini kwakuwa tayari tuna mtoto nilitaka kujua sababu lakini hakunipa sababu yoyote baada ya kumbana sana ndipo akaamua kuahirisha wazo lake.Siku nyingine tena alirudia wazo lake lakini pia baada ya kumbana alighaili baada ya wiki moja nilipokea simu kutoka kwa gfriend wangu nilishangaa kusikia sauti ya kiume badala ya kike kama nilivyozoea nanukuu "Oya nakuomba uachane na demu wangu ....alimtaja jina halafu unamg'ang'ania wa nini anakutaka muachane lakini we unaamg'ang'nia unataka nini hasa na kama hutonisikia utaona kitakachotokea " mwisho wa kunukuu.Baada ya kukata simu alipiga tena g'frind wangu na kukanusha oh sio hivyo sijamwambia akupigie kaninyang'anya simu kisha kakupigia wewe samahani honey
swali:1 kwanini mshkaji alitumia simu ya g'friend wangu kunipigia mimi kama hawana mahusiano ?
sawli:2 mshkaji alijuaje kwamba g'friend wangu aliniomba tuachane yaani alijuaje ishu kama hiyo?
Na sasa ananiomba nimsamehe kwani mimi niliamua kumkaushia lakini ananibembeleza sana mpaka najisikia vibaya
je nifanyeje wadau?