kama wewe ni mpenzi wa game za magari na unapenda kucheza online kushindana na other racers wa nchi mbalimbali download hili game katika pc yako need for speed world ucheze for free lina kama 1.5 gb,ukijiona umekwiva kushindana na mimi ni add as a friend Mndengereko tushindane,you are all welcome
hali wapi mkuu,hujui uwepo wa proxy server na unlimited internet connection with high speed kwa 10,000 tu kwa mwezi i.e pd proxy ukiwa nayo hiyo tu inatosha hata ucheze 24/7