Amos Mtatina
Member
- Jun 5, 2021
- 50
- 43
Mbao za plastiki, mbao hizi tunatengeneza na kuuza, uzuri wa izi mbao na nguzo ni kua haziozi, haziliwi na mchwa, wala kubunguliwa, ni nzito na imara, zinatumika kawaida na sehem mbalimbali kama mbao zingine na nguzo, nguzo za zege kila baada ya miaka mi 5 lazima ufanye kurekebisha tena pengine kubomoka, lakin nguzo zetu za plastiki ni ngum na imara, mda wake wa kuishi na kuharibika ni miaka 50.Weka kwa kiswahili ili tukuelewe, pia fafanua zaidi kujua na changamoto zake ukilinganisha na nguzo za zege au mbao/mti.
Mwisho kabisa weka na picha za kutosha, wengi hatuzijui.
Hiki ni kitu kipya kwa wengi.
Hizi ni baadhi ya picha na maeneo zilipotumikaView attachment 2023477View attachment 2023478View attachment 2023479Weka kwa kiswahili ili tukuelewe, pia fafanua zaidi kujua na changamoto zake ukilinganisha na nguzo za zege au mbao/mti.
Mwisho kabisa weka na picha za kutosha, wengi hatuzijui.
Hiki ni kitu kipya kwa wengi.
Kwahio unaweza kupaulia nyumba au😅Hizi ni baadhi ya picha na maeneo zilipotumikaView attachment 2023477View attachment 2023478View attachment 2023479View attachment 2023480
Asante sana kwa ufafanuzi murua.Hizi ni baadhi ya picha na maeneo zilipotumikaView attachment 2023477View attachment 2023478View attachment 2023479View attachment 2023480
Usinisahau kwenye ufalme wako wakikujibuKwahio unaweza kupaulia nyumba au😅
Tupo Dar es salaam lakin tunauza adi mikoani.Asante sana kwa ufafanuzi murua.
Muda sio mrefu nitakuwa mteja wako.
Vipi mikoani huwa unauza au mpo Dar tu?
NdioKwahio unaweza kupaulia nyumba au
Amejibu ndio mkuu😂Usinisahau kwenye ufalme wako wakikujibu
mnauzaje weka bei tueleweHizi ni baadhi ya picha na maeneo zilipotumikaView attachment 2023477View attachment 2023478View attachment 2023479View attachment 2023480
Hakuna namna zikapatikana za rangi nzuri, zifae hata kwenye kupambia gardens. Maana hiyo rangi nyeusi ni kama imemwagiwa oil chafuHere some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting, strong and durable,
More info contact through 0757671874, 0676515441
Email amtatina@ecoact.co.tz
View attachment 2023017
Hapana, iyo rangi ni mteja aliamua iwe ivyo, rangi zipo nyeusi na nyeupe pia, zote n nzuri na zinadum kwa mda mrefuHakuna namna zikapatikana za rangi nzuri, zifae hata kwenye kupambia gardens. Maana hiyo rangi nyeusi ni kama imemwagiwa oil chafu
Bei zetu zipo kama ifuuatavyomnauzaje weka bei tuelewe
Karib sana, discount ipo sema inategemea na idadi ya poles au mbao ambazo utachukua, namba zetu 0757671874 nipe order yako.Tatizo bei ni kisanga ...
Mikoani tunatuma, pia idadi yoyote unaweza kuagiza tukakupatia.Mikoani mnatuma ? Na je kuna cha chini cha order ? Na ni kuanzia PC ngapi ?