Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Habari nilizo zipata hivi punde kuna dege jingine limedondoka Kusini kaskazini mwa Iran likiwa limebeba abiria 168 na inasadikika wote wamekufa. Linamilikiwa na kampuni ya Caspian. Sijajua kama ni airbus au lah.
Sourse.Dorch velle.
Poleni waIran wote.
Duh, lugha imegongana?Habari nilizo zipata hivi punde kuna dege jingine limedondoka Kusini kaskazinimwa Iran likiwa limebeba abiria 168 na inasadikika wote wamekufa. Linamilikiwa na kampuni ya Caspian. Sijajua kama ni airbus au lah.
Sourse.Dorch velle.
Poleni waIran wote.
sio airbus, ni Russian-made TupolevsHabari nilizo zipata hivi punde kuna dege jingine limedondoka Kusini kaskazini mwa Iran likiwa limebeba abiria 168 na inasadikika wote wamekufa. Linamilikiwa na kampuni ya Caspian. Sijajua kama ni airbus au lah.
Sourse.Dorch velle.
Poleni waIran wote.
Habari nilizo zipata hivi punde kuna dege jingine limedondoka Kusini kaskazini mwa Iran likiwa limebeba abiria 168 na inasadikika wote wamekufa. Linamilikiwa na kampuni ya Caspian. Sijajua kama ni airbus au lah.
Sourse.Dorch velle.
Poleni waIran wote.
jamani turudi kwa mungu tuache dhambi,nadhani hizo ni dalili tosha za kiama.
Duh, lugha imegongana?