Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
Leo wanajua Chadema si chama cha vurugu isipokuwa pale tu polisi wanapoingilia kutuzuia bila msingi na Mara nyingi kinyume na sheria. Hii ni credit kwa Chadema na ndiyo inayotuletea Leo mamilioni ya Watanzania. Mkakati hue hauwezi kubezwa. Umekuwa tested na umeonyesha matunda.5) sasa hive ninapoandika, tuko kwenye TOT ya viongozi wakufunzi watakaoenda kufundisha viongozi wa kanda wapatao 1,200, na wao watashuka kwenye majimbo na kufundisha viongozi wapatao 428 wa majimbo, na wao watashuka kwenye Kata kufundisha viongozi makundi yote takriban 30,000. Hii maana yake ni kuwa kuanzia Juni tuna uwezo wa kushika kwenye vijiji takriban 18,000 na vitongoji takriban 250,000, katika hatua hiyo sasa tutakuwa kweli Real Madrid na Barcelona, kwa kuwa tunaenda kuwakaba kule kule chini ambayo miaka yote walidhani hakuna chama chochote cha Upinzani kitafika huko.
Wadau napo hapa panahitaji michango yenu. Tusiache akili zetu zikasombwa na mkumbo wa vioja vya Bungeni. Tushirikishane mawazo kuongeza nguvu ya upinzani nchini.
Vioja vinachelewesha maendeleo. Taifa linajadili vioja...
Tangu hapo watamweka huyo 'mkristo' by default lakini hoja za wananchi wala haziegemei huko. Wanatazama wamefanyiwa nini na hao wanaotaka kukitetea kiti cha uraisWacha niwe muazi ktk hili 'Plan B' ya chadema ni kuhakikisha ccm inamuweka mgombea mkristo ili kupunguza maumivu yaliowapata katika kipindi hiki cha awamu ya nne.
Mfumo umetikiswa sana na utawala wa kikwete kwahiyo kama ccm ikimuweka muislamu 2015 basi Tanzania itawaka moto ukiongozwa na chadema.
Ni kweli kuwa wananchi wanaweza badilika ndani ya saa 24 hasa nikichukulia kauli ya Membe katika hili. Bahati nzuri hata hao unaodhani hawajaenda shule wana mwamko wa ajabu sana kwa sasa. Labda tu wasiwe na mwamko wa kupiga kura.Chadema bado safario ni ndefu,mnaweza mkafikiri wananchi wamehamasika bt hua hakuna watu wepesi wanadanganyika na kusahau matatizo yao kwa sekunde chache kama watz!!!mliobahatika kwenda shule na kufunguka akili hamasisha ndugu zako na jirani zako kila wakati,badilisha mtazamo wa baba yako na mama yako wakichukie chama cha mafisadi.Ukiona kijana wa leo anakomaa na sisiemu ujue ana maslahi binafsi au ni sababu tu ya ujinga.
Bahari nzuri Lissu kakiri Bungeni kuwa ccm wana mtandao huko ngazi wa vijiji na vitongoji. kwa kulitambua hilo inakuwa rahisi nao cdm kuchukua hatua mapema kufika ngazi hizoUkichukua majimbo mengi kwa vyovyote utakuwa umechukuwa na uraisi pia kama ambavyo kupata madiwani wengi ni kupata uraisi pia. Cha muhimu ni kufungua matawi mengi vijijini kwa kadri iwezekanavyo na kuyaratibu kwa lengo la kupata madiwani wengi jambo litalosaidia kupata wabunge wengi na hatimaye kupata Raisi.