Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Niliisoma vizuri sana makala ya Mzee Mwanakijiji kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana au juzi. Makala yenye kusema anatoa karipio kali kwa Chadema kuhusu haya yanayoendelea sasa. kiukweli ukiisoma ile makala unaona kwa hakika kuwa si kwamba Chadema hawawezi kuingia madarakani, bali ccm hawana NIA ya kuachia madaraka. ccm wapo tayari kwa lolote ili kuona kuwa wanabakia madarakani. 2010 tuliona haya na Mungu mkubwa Hekima ilitawala na nchi haikuingia kwenye matatizo. 2015 mambo yanaweza kuwa tofauti sana maana mwamko kwa wananchi ni mkubwa sana juu ya mabadiliko na upuuzi unaoendelea na unaofanywa na walio madarakani.
Licha ya mwamko kuwa mkubwa vita dhidi ya mwamko nayo imepamba moto mno kuanzia serikalini, Mahakamani hadi Bungeni. Siye sote mashahidi. Chadema wanaandaa mkutano:
Plan B ni ipi. Hatutaki vita wala umwagaji damu. Kadhalika hatutaki dhuluma. Hatutaki yatokee ya Kenya, Zimbabwe, wala yale ya Arab Spring kwani historia imetuonyesha kuwa tulipigana vita na hadi leo tunachechemea. Sie si kama wenzetu maana hatujaumbwa hivyo. Plan B ni kuweka nguvu ya ziada kwenye majimbo! Hili ni rahisi kuliko hata kuutaka huo urais. Urais utakuwa na faida gani kama chama hakitaweza kushinda majimbo ya kutosha ili kuleta ushindani usio na shaka Bungeni?
Mwisho tunawatakia Chadema kila la heri kwenye vikao vyao vya sasa na vya baadae.
Licha ya mwamko kuwa mkubwa vita dhidi ya mwamko nayo imepamba moto mno kuanzia serikalini, Mahakamani hadi Bungeni. Siye sote mashahidi. Chadema wanaandaa mkutano:
Leo wanajua Chadema si chama cha vurugu isipokuwa pale tu polisi wanapoingilia kutuzuia bila msingi na Mara nyingi kinyume na sheria. Hii ni credit kwa Chadema na ndiyo inayotuletea Leo mamilioni ya Watanzania. Mkakati hue hauwezi kubezwa. Umekuwa tested na umeonyesha matunda.5) sasa hive ninapoandika, tuko kwenye TOT ya viongozi wakufunzi watakaoenda kufundisha viongozi wa kanda wapatao 1,200, na wao watashuka kwenye majimbo na kufundisha viongozi wapatao 428 wa majimbo, na wao watashuka kwenye Kata kufundisha viongozi makundi yote takriban 30,000. Hii maana yake ni kuwa kuanzia Juni tuna uwezo wa kushika kwenye vijiji takriban 18,000 na vitongoji takriban 250,000, katika hatua hiyo sasa tutakuwa kweli Real Madrid na Barcelona, kwa kuwa tunaenda kuwakaba kule kule chini ambayo miaka yote walidhani hakuna chama chochote cha Upinzani kitafika huko.