Wadau napenda kufaham plain T-shirt ambazo zina ubora kwa hapa Tanzania nikimaanisha kwa wauzaji wa mikoa yote kiujumla bei yake ipoje kama mtu anahitaji kununua kwa jumla jumla sio moja au mbili unakua mzigo. Napenda nifaham bei kwa mwenye uelewa Na hili
Plain T shirt inategemea na aina Yake pamoja na ubora, kuna zinazoanzia elfu tatu hadi elfu ishirini inategemea na wewe unahitaji aina gani na kwa mahitaji gani
Plain T shirt inategemea na aina Yake pamoja na ubora, kuna zinazoanzia elfu tatu hadi elfu ishirini inategemea na wewe unahitaji aina gani na kwa mahitaji gani