Plain T-shirt nzito za jumla

Plain T-shirt nzito za jumla

Miss Jay

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
211
Reaction score
174
Habari wana jamvi,,,nataka kufanya biashara ya kuprint T shirt na kuziuza kwaiyo raw materials mojawapo ninazohitaji ni T shirt plain nzito nzuri za kiwango yaweza kuwa Manga au brand nyingine nzuri zaidi isiyopauka pia nahitaji boxer aina ya CK Calvin Klein mwenye kujua naweza kuzipata wapi anijuze tafadhali au kama kuna mtu anauza na amesoma uzi huu basi tuwasiliane,,Asanteni
 
plain zinapatikana kariakoo aina zote unazotaka hela yako tu....

karibu sana workshop kwangu nikuprintie logo zako kwa bei nafuu... kila mashine ya kisasa ipo.. cheki kazi zangu baadhi kwenye hiyo link..

also cheki our page instagram

Kampala ulizia sehemu moja inaitwa owino wanauza elfu mbilimbili tu kwa whole sale either nenda kkoo kongo street kama cvyo fika makorobo kwa mwanza
 
Please tuwasiliane inbox
 
Kampala ulizia sehemu moja inaitwa owino wanauza elfu mbilimbili tu kwa whole sale either nenda kkoo kongo street kama cvyo fika makorobo kwa mwanza
Kampala kupitisha mzigo border hawasumbui???au kuna malipo ya kulipia mkuu?
 
Kuna kiasi unalipia kulingana na gharama ya mzigo ulioubeba/ ulioununua. Hivyo wanakagua risiti ya mzigo na ikiwezekana wanafungua begi/ box
Kampala kupitisha mzigo border hawasumbui???au kuna malipo ya kulipia mkuu?
 
Arusha kiwanda cha sunflag na ATOZ utapata Tshirt nzuri tu tena kwa bei powa kabisa.
 
Habari wana jamvi,,,nataka kufanya biashara ya kuprint T shirt na kuziuza kwaiyo raw materials mojawapo ninazohitaji ni T shirt plain nzito nzuri za kiwango yaweza kuwa Manga au brand nyingine nzuri zaidi isiyopauka pia nahitaji boxer aina ya CK Calvin Klein mwenye kujua naweza kuzipata wapi anijuze tafadhali au kama kuna mtu anauza na amesoma uzi huu basi tuwasiliane,,Asanteni
Unahitaji kiasi gani? Demand ya hizo products kwa mwezi ikoje?
 
18% tax bei ya uhakika kwa Kampala ni 2300 ya kitanzania so andaa tsh 414 ya kuilipia kwa kila tshirt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom