Pitia hapa...

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Wadau!
Ninaomba kueleweshwa kitu kimoja ndugu zangu.
1. Hivi inapotokea nafasi za kazi zimetangazwa na unavigezo kwa zaidi ya nafasi 2 nakuendelea kwenye tangazo moja,je unaweza kuomba zote? ( Taasisi tofauti)

2. Kama taasisi moja imetangaza nafasi zaidi ya 1 na zote unavigezo,je unaruhusiwa kuziomba zote?

Karibuni mnieleweshe!
 
Omba zote....haijalishi, ila isiwe kuwa unaomba zote kwa barua moja ya maombi!
 
in all cases unaruhusiwa kuomba lakini ikitokea taasisi moja imetoa kazi zaidi ya moja na zote una vigezo na ikatokea written interview ikawa moja kwa nafasi zote mbili ina maana utashindwa kufanya written interview 2 kwa wakati mmoja.Baadhi ya taasisi wameliona hilo na huwa wanaweka separate written interviw kwa kila post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…