Pitia hapa uone dogee turbo- DG2014 5" simu ya ukweli

Bettery inauwezo gani, naweza kupata lenovo p780 ?
 
Bettery inauwezo gani, naweza kupata lenovo p780 ?

Battery yake ni latest tech 1750mAh maanake ni 40% extra talk time ya battery za kawaida ambazo ni 1300mAh
 
Mbona unauza bei mnoo?

I think kwa quality ya simu yenyewe ukiangalia specs haina na tofauti na simu tuliozoea kama Htc, Samsung nk nk, design yake so unique. Kwa bei hiyo iko fair sana..! Ukichukulia bei tunayonunulia na mzigo unatoa US kwa expedited shipping. FAIR SANA. kikubwa quality ya simu?
 
Kaka una element kama za Presidaa wako!

Presidaa wetu ni mtu mwenye moyo safi.... Kaka kaiga mfano bora wa kiongozi. Nadhani na wew unapaswa kufanya namna hiyo
 
simu nzuri ila imenuanguasha kwenye gpu chipset hiyo ya mediatek 6589, ingekuwa ni gpu ya qualcom ingekuwa poa, pia hiyo betri 1750 mah ni ndogo sana kulingana na screen resolution+ size ya hiyo simu, labda ingekuwa kuanzia 2000mah.
 
Mediatek sio wabaya moja ya devices maarufu zinazotumia chipset za hao jamaa ni kina Huawei, Lenovo, Micromax, Zopo, Alcatel na nk .....nk! Sema consumers wengi tunaangalia majina binafsi naipa 4.5 stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…