1. Kioo kibaya chenye response ambayo sio nzuri kinaweza kufanya usitype vizuri, zipo iphone/lumia zina vioo vidogo kama lumia 620 au iphone 4 lakini kuandika sio shida.
2. Anaweza jaribu swiftkey ipo store ni keyboard nzuri aone kama italeta mabadiliko.
3. Kama itakataa itabidi atafute zile keyboard za kizamani ambazo herufi 3 au 4 zinakaa pamoja
Google maneno haya
Number pad keyboard apk
Zitakuja keyboard zenye layout kama hii