Pita hapa Mara Kuna tatizo


Na jamaa alivyo na shauku ya kumpata huyo binti akiambiwa ana mimba kwake ni furaha hapo anajua binti ashakuwa wakwake moja kwa moja.

Umenikumbusha, miaka ya nyuma kuna shost angu alikuwa anapendwa na mkaka mmoja fundi wa kujenga tu halafu yeye hampendi wala nini ni kumchuna tu. Na kaka wa watu anahudumia. Anamchuna hadi nauli za kwenda kwa wanaume wengine maskini[emoji22].

Si wakampa mimba halafu wakaikataa[emoji23]. Hapo shost ikibidi aanze kubadilika na kuwa mwema kwa fundi ujenzi . Fundi ujenzi kila akiomba anapewa baadae akapewa ile mimba maskini alifurahi na wakaoana kabisa. Sasa hivi wana watoto watatu.
 
wanao-do na ndom ile siyo sex, watafute neno lingine
nikishusha video zangu (hasa za Anal) , nacheki kwenye thumbnail, nikiona ndom, naacha
Ila hii comment yako itafanya nijichukulie sheria mkononi maana mmh.
Na mazingira yanaruhusu kabisa yaani. Mbaya sana wewe...shindwa na ulegee
 
Ila hii comment yako itafanya nijichukulie sheria mkononi maana mmh.
Na mazingira yanaruhusu kabisa yaani. Mbaya sana wewe...shindwa na ulegee
hahahaha nimecheka
 
Nimeishia hapo ulipoandika ulichukua ushauri humu🙆🙆🙆
Furushi.
 
Mkuu kwa ulipofikia hata ukishauriwa ni kazi bure. Maana hata ukiambiwa cha kufanya ili awe utakavyo, ukavifanya na asibadirike, hutamwacha. Ninachokiona kwako ni utoro tu wa kutohudhuria vikao vyetu sisi wanaume. Tulishakubaliana, mwanamke wa kumhudumia ni mkeo tu hawa wengine wahudumiwe na wazazi wao hadi pale mzazi atakapo kukabidhi rasmi kama mumewe.

Mkuu tunza pesa yako, iwekeze jesho ikuletee pesa zingine zitakazokusaidia uzeeni. Anyway kila la heri mkuu, endelea kumpa machips ya mavocha[emoji28]
 
Halafu wanatulaumu mabroo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…