Pita hapa Mara Kuna tatizo

Kwanza mnaonekana wote ninwadogo. Ila maadamu una nia, na dini yenu inaruhusu, endelea kumjali. Kwako naamini unampenda zaidi ya kumtamani. Kwake upendo wake utaanza kujijenga taratibu juu yako kulingana na wewe unavyoendelea kumjali. Huyo ni wako
Hapo sawa ndio ushauri mzuri kaka huu nilitaka niusome
 
Kuzuia magonjwa na mimba.

Ila mimi sijawahi kutumia ndom na sitarajii kuitumia😅😅
Magonjwa mungu anajua, mimba tutamwagia nje, shida nini.. 😂😂

Kiukweli zaidi ya kuiona kwenye matangazo ya tv, sijawahi igusa kabisaaa😂🤣🤣
 
Umegeuzwa Baba mlezi Wa Binti mkubwa,,jiandae kulipia ada ya kompyuta kozi hewa,,,shtuka wewe Jamaa mvaa kobazi!!
 
Magonjwa mungu anajua, mimba tutamwagia nje, shida nini.. 😂😂

Kiukweli zaidi ya kuiona kwenye matangazo ya tv, sijawahi igusa kabisaaa😂🤣🤣
Kondom ni kwa wale ambao kila siku anavua samaki mpya, yaani hachagui ili mradi adumbukize, okota okota style
 
Broo usiseme hivyo ujue Kuna muda alikuwa mkavu[emoji24][emoji24][emoji24]
Majuto huja baada ya kitendo,acha kusikiliza maneno ya JF ishi maisha yako,humu kuna porojo nyingi sana za kufurahisha genge tu ila watu wapo makini.
 
Kila siku tunawaambia muachane na mabinti wanaoweka kucha, kope na nywele za bandia hamuelewi.
Huo ni uzuzu.
Dada zako kijijini wanahitaji msaada
 
Kondom ni kwa wale ambao kila siku anavua samaki mpya, yaani hachagui ili mradi adumbukize, okota okota style
wanao-do na ndom ile siyo sex, watafute neno lingine
nikishusha video zangu (hasa za Anal) , nacheki kwenye thumbnail, nikiona ndom, naacha
 
Matokeo ya darasa la saba yameshatoka? Mbona hujui kuandika hivyo?
 

vipi homa lakini au bado inapanda taratibu,

naamini umeandaa 50k ya kutibu U.T.I sugu pia, licha ya kwamba umeinunua gharama zaidi.
 
Safi sana
 
Au tufanye kuna matatu mkuu, [emoji23][emoji23]
Inawezekana ana ujauzito sasa anajua tu akikwambia utumie kinga hautotumia sasa anaweka kumbukumbu sawa ili baada ya wiki kadhaa akwambie ana ujauzito wako na alikwambia tangu siku ile utumie kinga we hukutaka hivyo unawajibika 100% kwa kila kitu
 
Halafu huwa wanalalamika kwamba wanawake hawapendi kutumia ndom kumbe ni wao wenyewe.

Wakiambiwa watumie hawataki na wakilazimishwa wanaitoboa. Sijui akili zao zipoje yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…