Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Miss NatafutaNapenda mke anayejua kupika [emoji39]
Keki haiwekwi hamira dear! Hutakiwi kuzidisha mayai!Kwa anayefahamu,je ulain wa keki unaletwa na wingi wa mayai au hamira?
Keki haiwekwi hamira dear! Hutakiwi kuzidisha mayai!
Hapo sijaona maziwa /maji ya kufanya unga uwe laini na si ugali
Tumia mkaa kwa kuweka moto juu na chini kama vile unabanika waliKama oven huna?
baking powder inafanya keki ijaeKwenye hamira namaanisha baking powder
Maji/maziwa sijayataja sababu kiwango chake kinaeleweka. Shida yangu ni mayai na hamira(baking powder)
baking powder inafanya keki ijae
ulaini wa keki ni jinsi utakavyochanganya mchanganyiko wako vizuri au ukitaka urahisi zaidi tenganisha kiini cha yai na ute, visage tofauti then baadae changanya kwa pamoja hapo ndio utapata keki laini zaidi na hiyo ndo wazungu wanaita sponge cake