Mtazamaji, Naona hapa unazidi kupotosha watu. Piracy is piracy, in any guise it will still be piracy.
Ilaumu shule na uongozi wake kwa kutokuwepo na hivyo vitabu na resources zinginezo kwenye elimu.
Kwa nini tu uheshimu copyright laws for products za Mtanzania? Nani kwakwambia kuwa aliyeandika hicho kitabu cha CCNA ni tajiri sana na kutopata returns yake biashara yake haitaharibika?
Mtoto wa mkulima, anatafuta nini kwenye CCNA? Anataka apate elimu ambayo itamlipa pesa nyingi, mfano, 2Million Shillings per month. Kitabu hiki costs around $50. equivalent to 70,000TSH. Ukiniambia kuwa huyu aliyekitumia hiki kitabu akishapata kazi atamkumbuka mwandishi wa hicho kitabu pengine nitakuelewa, lakini kusema sisi masikini imepitwa na wakati. Nchi hii ina pesa bwana, ila tu hatujajua jinsi ya kujiendeleza.
Tukisha jisaidia na vitabu vya wizi, je mahospitalini tutafanyaje?, tutaweza kuiba madawa, na resources zingine ilhali sisi maskini?
The internet is strewn with free, I mean completely free resources za elimu, kwa hiyo madai ya kutokuwepo na alternative means mtanzania hatasoma ni kuwa unajidanganya na kuendeleza tabia ya wizi. Ndugu yangu, believe me, ukianza kudokoa'dokoa mali za watu at this level, you will not stop at stealing from a resourceful writer/developer. Utaanza kuwaibia ndugu zako, nchi yako, na hata kujiibia mwenyewe.
Take pride in being honest in your dealings...
Umetao mfano mzuri wa opensource software ambazo zinafanya kazi kama hizo za kulipia. Vitabu na learning materials zake zipo za kumwagwa na katika kujifunza, ni vyema mwanafunzi atumie hizi na makampuni pia wanaweza ku'implement mission critical application solution kwa hizi hizi za opensource...........
....................................
Samahani kwa tutakao wakwanza kwani hii ni sehemu ya maisha.
Why don't you do a simple research on your patrons to see how they have actually benefitted from this resource and if at all they can now start producing own materials to appear on the site to complement and maybe eventually remove those that should not be held, linked to and continually being sort to be added to the burgeoning list.
Hongera Kilongwe and the team at AfroIT. Nawapongeza tena kwa kuanza kurekodi materials wenyewe na kuziweka kwenye site yenu kwa manufaa ya Mtanzania. Materials zote ambazo from word go, zimetolewa for free from anywhere in the world should appear here na hapo kwa kweli mtakuwa mmefanikisha kitu muhimu kwa jamii. Kumbukeni, watu wakiwapa shukrani, wakiwaombea mbarikiwe zaidi, baraka zitakuja kwani, mmefanya kitu legal for the benefit of the community.
Nadhani challenge hivi sasa ni kuwa'encourage the ICT experts wetu to contribute their knowledge to this site. Kwanza labda kuwaonyesha ni jinsi gani mtu anaweza kutengeneza materials i.e. to record them and have them available at your site, resources gani anahitaji on their computer (commercial vs opensource) na kama kuna collaborations that can be organised with other people to get materials out.
our father does not provide home meal so let us go and steal and it is cool. Basically kuna pesa za vitabu tunalipia kodi. So serikali inatakiwa kununua e books. Kwa shule huwa kuna punguzo maalum. Ujuha wa viongozi serikalini sio execuse ya kuiba kazi za watu!Wanajamvi napinga piracy hasa ya kazi za watanzania lakini pia napinga watu wanajifanya wako kifua mbele kupinga piracy inayoweza kuwa mkombozi wa taifa letu.
Mfano. Shule na vyuo hazina vitabu kwa hiyo kusmahrui mwnafuzi kusoma au kupakua kitabu cha GPRS and Wireless Applicatins Personal Wirelss Communication , Bluetooth arctecture. Kutoka Afroit.com au Jamiiforums.com hata kama hawana copy right ya kufanya hivyo kwangu ni sahihi. Tembelea Communication--Wireless Technologies--GPRS and 3G Wireless Applications uone baadhiya vitabu walivyonavyo
Wanafunzi wa chuo kulalamika hana vitabu wakati kwenye mtando kuna vitabu vya bure kwa kisingizio cha copy right ni uzushi.
Mtotowa mkulima kushindwa kufanya course ya CCNA au MSCE sababu hana uwezo wa kulipa mafunzo wakati kuna Video za mafunzo tena za kiwango bora ni uzembe. Mfano kuna vide nzuri tu kama Train Signal Cisco CCNA Training Videos (download torrent) - TPB
Au MICROSOFT VISUAL STUDIO 2010 TRAINING DVD [thethingy] (download torrent) - TPB
As long as piracy haihusihi kazi za watanzania kwangu naona Ni fursa ya Kutumia Internet na IT kwa manufaa yetu bila woga. Nashauri na serikali iache kufuata fuata mkumbo tu.
Je una maoni gani juu ya mchango,atahri, faida na hasara za piracy kwa maendeleo ya Tanzania.
Nawasilisha kwa mjadala
Linux GTK Record na nyingine nimeisahau ila ukisearch google 'screen recorder' au 'screencast recorder' utapata!Mtazamaji,
commercial: techsmith.com (camtasia studio)
opensource: camstudio
Others are as follows
captivate (not sure who owns this company)
There should be a few for the Mac operating systems but not sure.