Pipoz pawaaaa...!

hII NI RECYCLE!
Tulishacomment sana kuihusu!
 
Hii nimeipenda saaana, isiishie Arumeru tu, inabid hii kitu ienezwe nchi nzima hasa kwa watoto na vijana, wakiona mtu kapiga nguo za magamba ni kumzomea na kumuonyesha vidole viwili ishara ya ukombozi. Hii ndio M4C yenyewe...!!:violin:
 
Kila zama na Kitabu chake!!
 
Nimeipenda sana hiyo, kizazi korofi na chenye kutafakariiii sana bila kusimama!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…