Pipoz pawa chadema juu arumeru

Mawwassa bana!! Hadi uchovu wangu wa kusukuma mkokoteni kutwa nzima umekata gafla bin vuuuu!!!!
 

Mkuu nimetafuta button ya ILIKE sijaiona. Nimependa kweli kwamba eti mtu anapoiba mali za watanzania akiambiwa mwizi anasema ni siasa za kuchafuana. Na Mkuu anapoongea na wazee wa Dar ambao ni waj...ga wenzake, ukiangalia si yule mwenyekiti wa wazee hao wa Dar si ndiyo yule mwenye kashfa ya UDA na mashamba yale ya kule Mpanda - Rukwa?? ambayo yote ni mali ya watanzania? Kwa kweli inavutia sana hii post yako.
 
wakuu!tuwe wavumilivu tu na watu kama hawa!kuna pointi zimejificha ktk ujumbe wake lakini uwezo wake wa kujieleza umezidiwa na hadhi ya jf-jukwaa la siasa
 
kuna wakati nilidhani jamaa katoroka mirembe kaingia mojakwamoja jukwaani,maana anatupa post kibao haijulikani anamjibu nani!mpaka nikawaza lifunguliwe "jukwaa la siasa za kijiwe cha kahawa"
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuweka IQ test ndogo wakati wa kujisajili JF ili kuweza ku-filter-out watu kama hawa. Inachoha sana na inatujazia nafasi za bureee....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…