Pioneer DJM 300 S Mixer

Pioneer DJM 300 S Mixer

Deejayptz

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
64
Reaction score
19
zina AUTO - BPM
Ziko poa bei sawa na bure zimabaki mbili
kila moja 250,000/=
Pioneer DJM 300 S Mixer

Call/whatsapp 0764 876 888
DSM - Tabata/magomeni
pioneer-djm-300-s-379242.jpg
pioneer-djm-300-s-57118.jpg
pioneer-djm-300-s-57121.jpg
pioneer-djm-300-s-379240.jpg
 
Hizi ni zile za Billicanas za mbowe zilizotupwa nje kwa kushindwa kulipa kodi?au ni nyingine?
Sasa MBOWE na Billz hapa wanahusika vp katika Post Hii au Umeona Jina la m2 katika Vifaa vyangu??
 
Nimeuliza maswali mawili naomba majibu ya hayo maswali yanakushinda nini?mbona yapo rahisi tu?Unakasirika nini?
 
PENGINE HUJIELEWI ZAID WATU WAKO NA CLUB YAKO VINAHUSIANA NN NA POST YANGU ULILAZIMISHWA KUJA HAPA...???? AU UMEONA HII NI POST YA MASWALI YA MBOWE NA BILZ?? Vi2 vingine tupunguze ushamba kdg....
 
Tatizo hana hera ya kununua na matatizo yake na chuki zake za kisiasa anataka kuzihamishia huku , ajue si kila mtu ajae humu ni mwanasiasa, hizo za mbowe si aende akamuulize kama anazitaka .
 
THANX Bro.
 
Ni kweli sina HERA(hela)maana kwa biashara haina thamani na siijui ni nini!Kitu cha pili sinunui vitu vya dhulma kama ni vile vya mbowe alidhulumiwa kwa hyo nikinunua nimeshiriki kumdhulumu!Tatu umetoka Tarime unanunua kila kitu kwa sababu ndio kwanza umeviona!Punguza ushamba wa kukurupuka!
 
PENGINE HUJIELEWI ZAID WATU WAKO NA CLUB YAKO VINAHUSIANA NN NA POST YANGU ULILAZIMISHWA KUJA HAPA...???? AU UMEONA HII NI POST YA MASWALI YA MBOWE NA BILZ?? Vi2 vingine tupunguze ushamba kdg....
Mbona povu hadi unaandika kwa herufi kubwa hivyo mkuu?kama sio vya mbowe unajibu tu sivyo vya mbowe,period.Nisamehe kwa kukukwaza.
 
Ni kweli sina HERA(hela)maana kwa biashara haina thamani na siijui ni nini!Kitu cha pili sinunui vitu vya dhulma kama ni vile vya mbowe alidhulumiwa kwa hyo nikinunua nimeshiriki kumdhulumu!Tatu umetoka Tarime unanunua kila kitu kwa sababu ndio kwanza umeviona!Punguza ushamba wa kukurupuka!
Muda huo unaohangaika kuwajibu hata watu usiowajua na kuandika usichokielewa tena kwenye post za watu watu washanunua vifaa vyote. Wabongo eti bhana mara... ohh! vitu vya mbowe.... mara biillz mara billz mara vitu vya dhuluma Mara vilitupwa nje ,,,vitu vya mwenzako alivyonunua kwa pesa yake na kuvipost ili niuze eti vya wizi sasa vitu vya wizi au vinapostiwa kama kama hivi hadharani tena kwenye mtandao mkubwa kama huu.Huwa unachokijua utabi hivyo hivyo. 'ZERO"
 
Nashukuru wewe ukiwa na 100 ya kuuza vifaa vyako ni sawa!
 
Ni kweli sina HERA(hela)maana kwa biashara haina thamani na siijui ni nini!Kitu cha pili sinunui vitu vya dhulma kama ni vile vya mbowe alidhulumiwa kwa hyo nikinunua nimeshiriki kumdhulumu!Tatu umetoka Tarime unanunua kila kitu kwa sababu ndio kwanza umeviona!Punguza ushamba wa kukurupuka!
Watu kama hawa unawapa dole la kat au kama haitosh una mpa tusi la mama ake hapo akil itamkaa vzur.......ushoga hatuitaj humu
 
Matusi ya nini?unajua matusi sana?sio tatizo lako ndio wale wanaojifutia karatasi wanapoenda choon sitashangaa!
 
Back
Top Bottom