B baraka moze Member Joined Apr 21, 2012 Posts 99 Reaction score 3 Apr 22, 2012 #1 Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Apr 22, 2012 #2 Hili likifanikiwa roho yangu itakuwa na amani kidogo sababu huyu mzee kwa ****** hashindanishwi na mtu yeyote tena ni kama vile msukule katika utoaji wa maamuzi
Hili likifanikiwa roho yangu itakuwa na amani kidogo sababu huyu mzee kwa ****** hashindanishwi na mtu yeyote tena ni kama vile msukule katika utoaji wa maamuzi
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Apr 22, 2012 #3 baraka moze said: Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani Click to expand... Mizengo 'Bonanza' Pita halafu pinda kulia
baraka moze said: Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani Click to expand... Mizengo 'Bonanza' Pita halafu pinda kulia
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Apr 22, 2012 #4 baraka moze said: Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani Click to expand... Tatizo kubwa la huyu bwana si muwazi, ni ndumila kuwili ang'atae huku na kule. alianza na Mungu ila atamaliza na SHETANI!
baraka moze said: Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani Click to expand... Tatizo kubwa la huyu bwana si muwazi, ni ndumila kuwili ang'atae huku na kule. alianza na Mungu ila atamaliza na SHETANI!
Borakufa JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 1,503 Reaction score 391 Apr 22, 2012 #5 Uso umejaa makunyanzi! sababu ya kuwekwa kati na mijizi ya nchi yetu! toka huko wewe pinda mpumbavu!
LENGIO JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 1,096 Reaction score 508 Apr 22, 2012 #6 Mwacheni mizengwe pindwa atalia sasa hivi.
S SokoroDar Member Joined Nov 16, 2011 Posts 39 Reaction score 6 Apr 23, 2012 #7 Jamani bosi wake ndo anaemuangusha huyu jamaa , mara nyingi anakuwa kwenye dillema !