Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Umempa ya uso!Ungemuuliza kwanza ujue sababu.halafu Manyerere kwny thread zingine tumia fake ID,pumba ukilinganisha na status yako
Si jambo la kawaida kabisa, kuona Waziri Mkuu mstaafu, akisusa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa anayeziba nafasi yake; lakini leo mizengo pinda na familia yake hawakuonekana kabisa Ikulu ya Chamwino. Je, ni hasira za kuukosa urais?
Ni aibu mwandishi wa habari kuleta uchonganishi na uchochezi usio wa msingi! Hivi ni lazima mizengo atokee pale na hata kama hayupo ndio sababu ya kusema amesusa? acha uchocheziSi jambo la kawaida kabisa, kuona Waziri Mkuu mstaafu, akisusa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa anayeziba nafasi yake; lakini leo mizengo pinda na familia yake hawakuonekana kabisa Ikulu ya Chamwino. Je, ni hasira za kuukosa urais?
Ungemuuliza kwanza ujue sababu.halafu Manyerere kwny thread zingine tumia fake ID,pumba ukilinganisha na status yako