Pinda baada ya kuitwa makapi

Usipotoshe maana ili kujifurahisha
Makapi ni wale waliohamia UKAWA,
 
Anaitwa kapi halafu yy anakaa karibu na ng'ombe. Si unajua ng'ombe wanakula makapi? Aangalie asije akawa chakula cha mifugo ndugu kapi.
 
Anaitwa kapi halafu yy anakaa karibu na ng'ombe. Si unajua ng'ombe wanakula makapi? Aangalie asije akawa chakula cha mifugo ndugu kapi.

Hahahaha kiswahili kipana kweli
 
Pekupeku.....aisee.....nimeipenda hii. Asa kama alikuwa anajua matatizo ya wakulima kwa nini hakuwasaidia?
 
Usipotoshe maana ili kujifurahisha
Makapi ni wale waliohamia UKAWA,
Nijuavyo mimi makapi ni uchafu uliosalia. Sasa waliobaki huko CCM naona kama vile ndio wanastahili kuitwa makapi!
 
Makapi sio kitu kilichoondoka Bali ni kitu kilichobaki,so waliochujwa na kubaki ccm ndio makapi
 
[QU OTE=benerax;13585799]Makapi sio kitu kilichoondoka Bali ni kitu kilichobaki,so waliochujwa na kubaki ccm ndio makapi[/QUOTE]



MASHISHANGA
 
Nashukuru sana Mungu, ameshika smart phone. Naishia hapa.
 
Hana maadili huyo mzee,ofisi anaiona chungu,vijana wake akina makamba wamemzidi maadili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…