Pinda amtibua Lowassa

CCM mkimsiliza Komba kisha mkateketeza Uzushi wake mtegemee Chama kitakuwa kinajishusha sana, Tambua komba hana sifa za kuigwa kiasi cha kuwanyoshea wenzake vidole, Unene wake ni Shiiida, Akili zake sasa zinaelea kwenye Dimbwi la mafuta mnategemea nini ?
 
Hivi ni nani kati ya waliopo ccm leo hii mwenye uwezo wa kumhoji Warioba ?

Hakuna aliye msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole, na tatizo mtu mwenye kuleta uzushi ni Komba ! Sasa Komba ana sifa gani ?
 
Mmmmh eti komba nae anathubutu kuwanyoshea kidole !
 
Hivi lowasa ataweza kupiga kampeni? Asijefia jukwaani .pinda hana sura ya urais by wanamtandao 2005 hahahaha
 

Ulikuwa wapi Mkuu? Tumekosa busara zako mida ati...! Big up Ben. Na mi nasema Komba hajitambui atawaingiza mkenge wakimsikiliza.
 
Warioba kawashika pabaya ccm,kila mara wanamwandama yeye na tume yake Nape na komba wanatokwa mapovu tu!
 
Warioba kawashika pabaya ccm,kila mara wanamwandama yeye na tume yake Nape na komba wanatokwa mapovu tu!

Unene Ukizidi sana Mafuta huwa yanapanda kwenye Ubongo na kuathili Uwezo wa Kufikiri ndio Maana Komba huwa hawezi Kuwa na Ujanja wa Akili za kuambiwa achanganye na zake,yeye hukariri hivyo hivyo pasipo kutafakari kwanza ! Chezea unene weweee ! Komba ni Shiiiiiiiiiiiiida !
 
Ulikuwa wapi Mkuu? Tumekosa busara zako mida ati...! Big up Ben. Na mi nasema Komba hajitambui atawaingiza mkenge wakimsikiliza.

Komba ni shiiiiiida ! eti kweli ccm wamekosa watu wa kuwashauri ? eti kauli za komba zitaweza Kuwa sheria ndani ya ccm ? Ama kweli ukistaajabu ya nape utakula ya komba ! Unene Pia ni shiiida !
 
Wakimuondoa au kumhoji jaji warioba nami nakihama chama cha mapinduzi...................
 
Kila siku Lowassa kawafanya nn kumbukeni kwamba hajatangaza nia ya kuutaka URAIS mbona mnamuwaza sana au ni chaguo sahihi kwa WATANZANIA
 
Mkuu siyo mimi nimempa hilo jina,watoto wa mjin ndio wamempa jina hilo,si afadhali hilo jina,ukisikia na lile lingine si ndo utashangaa

nitumie kwenye PM huenda yanasababu
 
hapa Tz kila jambo linawezekana japo maisha bora kwa kila mtanzania imeshindikana
 
Kwetu wanaume huwa tunatoa mahari! ninyi mnaofagilia sera za kimagharibi ndo huwa mnatolewa posa ... Deep down in your heart unajua kuwa CCM haina presidential Material zaidi ya Lowassa... Huyo Pinda wako amefanya nini ya kukaribia mafanikio ya Lowassa ya miaka 2 zaidi ya kuua na kung'oa watu kucha na meno? ...ifike mahali mtambue kuwa Matunguli (uchawi) mara zote hukinzana na maendeleo!!!
 
Hakuna asiyetoa rushwa kokote kule katika vyama vyetu vya siasa. chadema kuna nuka rushwa na ngono juu ikiongozwa na baba free lady. huko cuf rushwa na udini mwingi tu iko wazi lakini nccr wengi mamluki tu akiwemo mbatia aliyekubali kubebwa na kikwete akaenda kula kodi za wanyonge pale bungeni. Kiukweli hakuna msafi au unadhani mtu aliyeshindwa kumtumikia Mungu kwenye upadri anaweza kutumikia wananchi kwa uaminifu?? Narudi pale pale hakuna msafi tusimuandame pinda pekee tusiiandame ccm pekee hata upinzani kunanuka sema tu kuna kuzidiana. Lakini mtu hawezi kua na mabaya yote hata kama lipo jema dogo msilifiche. Vibanzi katika macho ya wengine hua vinaonekana sana lakini si rahisi kuziona boliti zilizo ndani ya macho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…