RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
kama mama yakoChadema wanafiki kweli.
chanzo ulitaka kiwe ni weweKumbe chanzo ni Tanzania Daima!
endelea kuijazia maiti damu ccmUnajiongopea na ukawa yako
Msimamo wa Warioba ni thabiti hivyo CCM wataumiza sana vichwa...!!
Chanzo: Tanzania "propaganda" daima
Kepteni.
Unajiongopea na ukawa yako
Nina hakika EDWARD LOWASA akileta posa kwa wazazi wako, faster tu unaolewa maana mahaba yako kwa lowasa ni MAHABA NIUWE.I wish wawafukuze Butiku na Warioba faster ili wakione cha moto! Kazi alizozifanya Butiku na Warioba kwa CCM hakuna hata mmoja aliekaribia, hawa wazee walijenga imani ya CCM mioyoni mwetu tukiwa makinda! Wasidhani kuwa CCM inakubalika kwenye baadhi ya vijiji kwa bahati mbaya! Wazee walifanyakazi ... Criminal minds siku zote ni shida tupu!!! .... Pinda akigombea na Lowassa tutauliza swali moja tu la Msingi... Miaka 2 ya Lowassa tumeshuhudia maendeleo Makubwa ya Kiuchumi! Miaka 8 ya Pinda tumeshuhudia watu wakiuawa kwa Mabomu, Risasi za Moto via programu yake ya "Liwalo naLiwe ...Wapigwe tu"...dini zote, watu wote wanataka maendeleo ama mabomu na risasi za moto? ...
well said Ben
Hata mm nilikuja mbio lakini kukuta ni gazeti la Chama Pinzani (Tanzania Daima) nimechokaKumbe chanzo ni Tanzania Daima!
Ni wendawazimu na umbumbumbu kufikiria kuwaadhibu wajumbe wa Tume wakati wajumbe hao hawakua wakifanya kazi ya chama.
Ni fikra za kiuendawazimu na roho ya kishetani tu kufikiria kuwafukuza akina Warioba.Basi kama ni kufanya hivyo wafanye haraka kama wana jeuri hiyo
Warioba na wenzake hawawezi kuhojiwa. Na wakifanya hivyo ataomba pia viongozi wa chama na serikali walioruhusu katiba ya JMT kuvunjwa nao wahojiwe.