Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Hongereni wana CC-Mafisadi (kama topic hii ina ukweli basi, mtatawala milele). Wadanganyika wameamua kufumba macho hapana shaka, na watakupendeni mpaka mwisho.
Nawashauri mchunguze kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…