Pimped starlet reflet inauzwa 5,700,000

Pimped starlet reflet inauzwa 5,700,000

Aisee bado tu hujaiuza toka mwezi wa kumi na mbili unakumbuka nilikwambia nikupe 5Mill ukakata mkuu bado unang'ang'ana na juu hivyo zile kasoro nilizokwambia ulizifanyia kazi???
siuzii presha kaka,dhumuni la kuuza nilikwambia..
kasoro ya indicator za kulia zimecrack na kama mtu atafika bei basi hiyo nitarekebisha mwenyewe unless otherwise bei zake nazijua nitampunguzia...serious buyers my no 07171297923
 
Mkuu 4.5 vipi unachukua?Kama unachukua ni PM faster.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
siuzii presha kaka,dhumuni la kuuza nilikwambia..
kasoro ya indicator za kulia zimecrack na kama mtu atafika bei basi hiyo nitarekebisha mwenyewe unless otherwise bei zake nazijua nitampunguzia...serious buyers my no 07171297923

Siku zote unapofanya auction weka wazi kila kasoro hata kama kuna ka mkwaruzo we kapige hadi picha sio mtu anakuja kuona kifaa ndo anaanza ku identify tatizo
 
Siku zote unapofanya auction weka wazi kila kasoro hata kama kuna ka mkwaruzo we kapige hadi picha sio mtu anakuja kuona kifaa ndo anaanza ku identify tatizo

so far kasoro ni hizo tuu
 
Attachments

  • 1390449916696.jpg
    1390449916696.jpg
    43.7 KB · Views: 102
  • 1390449961555.jpg
    1390449961555.jpg
    56.3 KB · Views: 110

Similar Discussions

Back
Top Bottom