Maisha yana mambo mengi sana. Wengi waliopata Div 1-2 form four wakakimbilia Advance waliangukia pua, au ualimu au 0 wachache ndio wanasheria madaktari na wahandisi. Bora anayepata 0 ataenda ufundi kwa uchungu ili afanye maisha na wana maisha safi sana. Na walopata 1V na 0 form four wengi wana good life.
Usiseme mimi nilifail ndio maana nazungumza, ila hii nikutokana na ninayoyaona mtaani.
Mwisho usimdharau mtu kwa perfomance yake ya shule couse haipimi uwezo wake wa kupambana na maisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app